Koero umenikuna;
“Lakini tofauti na hapa nchini kwetu, kuna matatizo ya mwamko wa watu kufuatilia habari za mtandaoni, sijui ni ukosefu wa ufahamu walionao wananchi walio wengi au nikutokana na kufinywa kwa teknolojia kutowafikia watu wengi hasa wa vijijini.” (Koero Mkundi, akimjibu Anony kwanye mada ya kwenye mada ya WAMALAWI NA NDOA ZA VIBINTI!)
Nilikuwa najitayarisha kuandika kuhusu
Kuna haja ya kuwa na ubunifu fulani ambao bloggers tunatakiwa kufanya, nachoweza kusema ni kwamba, tusisubiri Google atusaidie kutangaza blog zetu, tusisubiri blogs kujitangaza zenyewe kupitia uchangiaji wa maoni kwenye blogs mbali mbali. Kwa hatua nyepesi tunayoweza kuanza nayo ili tusifanye "ZERO GRAZING" ni kufanya ushawishi kwenye vyombo vya habari ili vitoe tolea maalumu la blogs za Watanzania
Naomba bloggers wote ambao wapo kwenye vyombo vya habari wajaribu kufanya ushawishi ili
Yasinta na Koero ninawazimia, mheshimiwa mmoja (Bw.Chacha) alitaja NGO yenu " Hivi ile NGO ya Koero na Yasinta inayoitwa Women Crying Every Day inafanya nini jamani?”, mimi nasema neno liliumba na iwe hivyo “Amen”, na ikiwa hivyo nitakuwa mmoja wa watakaotoa mchango kwa kadiri ya nafasi na uwezo nitakaokuwanao na kwa kadiri mtakavyonihitaji na nafasi itakavyokuwa ikinirushuau. Kwa kuanza nitakupeni Computer 1, Printer 1, Scanner 1, na kuwaunganisha kwenye Internet, mkiwa tayari niambieni. Nimeipenda
Friday, April 9, 2010
Bloggers are Zero Grazers!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wazo zuri. Tumeshaliongelea hili na kulitajataja mara nyingi sana. Kilichobakia sasa ni kuwaandikia watu wa magazeti ili kama inawezekana wawe wanaweka makala za kutoka kwenye blogu. Hii itakuwa hatua moja kubwa. Tumewahi kuwa na wanablogu ambao walikuwa na magazeti yao lakini hili halikutekelezwa. Sijui ugumu ulikuwa/uko wapi.
ReplyDeleteAsante kwa kujitolea kwako kuipiga tafu NGO ya akina Koero na Yasinta. Ni mwanzo mzuri na moyo huu wa kizalendo kwa hakika unahitajika.
Mmmhh! nitaongea na Mdogo wangu Koero na tukiwa tayari tutakupa taarifa. Natanguliza shukrani zangu kwakoo.
ReplyDeleteGood Boy always think big..kiukweli unaakili sana na wazo lako limegusa mahala husika kaka exlent boy an tutakuwa tuna chagua vya kuandika and think kama tukiwa tunapata page in news kiukweli blogrs tutakuwa na mchango mikubwa tu kwa jamii..tunaandika vingi though our blogs but as u sey we read our self that true let find the alternative bro keep it up.
ReplyDeleteJambo ambalo inabidi lifanyike ni kushwishi vyombo vya habari hususani magazeti kuwa na toleo maalumu la Kutoka kwa Blogers. toleo hiklo liandika habari na makala mbali mbali zil;izoandikwa kwenye blogs. Sambamba na hilo pawe na columna inayoonyesha Majina ya Blogs mbali mbali na URL zake. Nasisitiza kwa Blogers wote ambao wanafanya kazi kwenye vyombo vya habari hususani magazeti wafanye ushawishi kuhusu hilo. Siku za baade tunaweza kuangalia hatua kubwa zaidi kama vile kuanzisha kabisa gazeti la blogers "Blogers Wiki hii" amba vinginevyo...
ReplyDeleteduh! Aksante sana Jacob. Hiyo ndo mineno twataka kusikia na kuona ikitendewa kazi.
ReplyDeleteTuko pamoja