Tuesday, January 11, 2011

Kitendawili!

Kitendawili! Kitendawili!


Baadhi ya Madarasa kama yanavyooneka


Moja ya Vibaraza vya shule hiyo

Hii ni moja ya shule za Sekondari zilizopo nchini Tanzania, nimepata picha hizi mahali fulani lakini nimeshindwa kujua ni za shule gani na ipo wapi. Wadau naombeni msaada wenu..! mnitegulie kitendawili hiki.


2 comments:

  1. Ngoja nijaribu mimi nadhani:- NI jengo la shule iitwayo Oswald Mangómbe High School ipo Buswenge Musoma Vijijini. Nasubiri zawadi au?

    ReplyDelete
  2. mbona hujategua tu kitendawili hiki?mi sijajaribu kujibu ila napendapajua hapo ni wapi?

    ReplyDelete