Wednesday, February 9, 2011

Wapi Hapa?

Wapi Hapa?

Watu wengi hutamani kufika hapa, lakini ni mbali sana kutoka Jijini Dar es Salaam. Lakini ukifika utafurahi na utaona kabisa umeweka historia mpya ya maisha yako. Wenyeji wa eneo hili ambalo lilitupatia zawadi ya Afrika na Dunia wanaona ni kawaida tu! Ni wapi Hapa?

4 comments:

  1. nahisi kama ni maeneo ya Mwanza Mwanza vile....

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kuwa mtu pekee aliyejaribu. Hapo ni Nyumbani kwa Marehemu baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Ukiangalia kushoto kabisa mwa picha unaona Dirisha .. kuelekea upande wa kushoto zaidi ndio nyumba yenyewe ya Mwalimu. Panaitwa Mwitongo. Butiama hapo!Mbele yangu kulia kwakomtazamaji ndio ilipo Parking ya Magari.

    ReplyDelete