Monday, February 20, 2012

THE DAY TO REMEMBER FOR DR. GODFREY

ONE OF MY YOUNG BROTHERS
DR. GODFREY ON HIS WEDDING
FEB. 18, 2011

Kuingia ukumbini

Kuingia ukumbini kiraia

Ukataji wa keki

Kufungua Champaigne

Angalia Baadhi ya picha mnato (Klik "Bofya" picha kuikuza na kuona zote)
 Moja ya vivutio vikubwa vya harusi hii ni namna ukumbi ulivyopambwa, kwakweli nimehudhuria harusi nyingi lakini hii ilikuwa bab-kubwa. Uzuri wote huo wa ukumbi ulitokana na Bi.Leokadia (Pichani) mkurugenzi wa Mama Doris Decorations and Catering Services Tel 0719858530.

 Maharusi Dr. Godfrey na Br. Magreth katika pozi mara baada ya kuingia ukumbini


Kushoto baba na mama, kulia mama mkubwa na mama mdogo wa bwana harusi


 Keki ya harusi ya aina yake

Maharusi wakiingia ukumbiani kiraia 








Dada Rose akifungua Champagne 

 Zawadi za kimila kutoka kwa baba

Mpiga picha huwa hatokei mwenyewe kwenye picha, hapa ilikuwa bahati kidogo kupata picha na bwana harusi. Hongera mdogo wangu kwa hatua muhimu kimaisha!

2 comments:

  1. NIWUSHA HONGERA ZA MAHELA SANA KWA MAHARUSI DADI WA KUNANI AWAPELEYI BARAKA NA NDA YINU YIVYAI MILELE. HONGERA SANA NA KARIBUNA KWENYE MAISHA YA NDOA.

    ReplyDelete
  2. NIMEFURAHI KUKUSIKIA NA KWA NIABA YAO NASHUKURU NA SALAMU ZITAFIKA.

    ReplyDelete