Tuesday, November 27, 2012

Msanii kutoka Marekani



MSANII KUTOKA MAREKANI KUMFUATA LADY JAY DEE 

 Msanii anayekuja juu jijini Houston nchini Marekani Juliana Weja ambaye ni Mtanzania anayeishi huko na Wazazi wake ameonesha nia ya kuja nchini kwa ajili ya kurekodi nyimbo kadhaa na Msanii maarufu wa Tanzania Lady Jay Dee.  Juliana amesma amevutiwa na Jay Dee kutokana na kuni ni mwanamuziki ambaye ana kipaji kikubwa na pia ni msanii ambaye ana jiheshimu na kutunza heshima na utamaduni wa Tanzania.

Gazeti la Dimba Januari 15, 2013

Juliana na JIDE

Angalia baadhi ya kazi zake

Juliana Weja katika mazoezi kujiandaa na onyesho hilo


 Katika Umri wa Miaka 13



 Akifanya mazoezi na nyimbo ya Beyonce alipokuwa na umri wa miaka 12

 Akifanya mazoezi na nyimbo ya Beyonce alipokuwa na umri wa miaka 11

Binti wa Kitanzania Juliana Weja atafanya show kali Tarehe 15 jinini Houston, nchini Marekani .. mwenye ndugu ambaye yupo huko amjulishe akaone vipaji vya Kitanzania. Binti huyo Mwenye umri wa miaka 13 anapenda sana kuwa mwanamuziki, na ndoto yake kubwa ni ni kuwa mwanamuziki wa Kimataifa na kuipaisha Tanzania. Ni matumaini yangu Watanzania wote tutakuwa nyuma yake kwa namna mbali mbali ili afanikiwe mawazo yake, na hatimaye awe na mchango mkubwa katika kulikuza jina la nchi yetu kama mawazo yake yalivyo.

http://www.facebook.com/events/492539500767880/


1 comment:

  1. Thіs wеbsite was... how dо I say it? Relevant!
    ! Finally I have found sοmething whісh helped me.
    Apρreciаte it!

    Ϻy weblog ... Visit the Following Page

    ReplyDelete