Sunday, December 8, 2013

NGUO NA MAPAMBO

NGUO ZA WANAWAKE NA MAPAMBO
(Bofya picha kuiona kwa ukubwa zaidi)
 
KARIBU CHARAKHLOE BUTIQUE
KARIBU CHARAKHLOE BUTIQUE
KARIBU SANA BEI NI ZAKAWAIDA KABISA KWA MTANZANIA WA KAWAIDA, NGUO, APOCHI, PERFUMES ZA DIFFERENT DESIGNERS,VIATU VYA AINA TOFAUTI HIGH HILLS NA FLAT PIA,TOPS, NYT WEARS ETC ETC.MTEJA KWETU MFALME. KARIBU.
MAWASILIANO:
0655020498  NA 0719159915

KWA MAPAMBO YA UHAKIKA
DORIS DESIGNS Wataalamu wa upambaji wanakupa huduma ya upambaji kwa kiwango utakachohitaji katika shughuli yoyote unayohitaji kama vile Harusi, Sendoff, Dhifa za Kitaifa, Sherehe Mbali mbali za kiserikali, Sherehe za Kidini, Mahafali, na Shughuli nyingine mbalimbali. Wataalamu hawa watakufanikishia upambaji kwa namna unavyotaka kwa kiwango cha hali ya juu na shughuli yako itapendeza sana. Shughuli zote walizopamba zilivutia na mapambo yalikuwa gumzo. Kwa Maelezo zaidi fika CHARAKHLOE BUTIQUE Mbagala Zakhem Opposite na Dar Live. Fata barabara ya kuelekea Kibondemaji, Ukifika kwenye kiwanja cha mpira kwenye Nguzo Kubwa ya Tanesco Angalia Upande wa Kulia kwako utaona CHARAKHLOE BUTIQUE
Kwa Mawasiliano: 0719858530 na 0655020498 
Utafurahi mwenyewe

3 comments:

  1. mmm mbagala kumekucha.

    ReplyDelete
  2. Mbagala iko juu Anonymous. Watu wanatoka Tegeta, moro, Zanzibar na kwingineko wanakuja Dar Live na kwenye ishe nyingtine nyingi .. kuna viwanda vikubwa, kuna biashara na wakazi wengi na ndio sehemu pekee kwa sasa inayofikika kirahisi katika Jiji la dar es Salaam Ukitokea katikati ya jiji. Shida utapata kidogo tu kabla ya kuikamata Kila Road. Tembelea ukawaunge mkono Vijana.

    ReplyDelete