Monday, December 23, 2013

UNITED STATES OF AMERICA IN MBAGALA

Mali mpya imewasili wahi!

Bidhaa kutoka Marekani Nguo za wamama, Wadada, Mabegi yao na Vipodozi.
Wapo Mbagala Zakhem, barabara Kibondemaji Upande wa Pili wa Dar Live. Ukiwa unafuata barabara ya Kibondemaji mita 100 kutoka barabara ya kilwa utaona Uwanja mkubwa kuna nguzo ya Tanesco uwanjani hapo. Wao wanatazamana na Nguzo ya Tanesco. Pameandikwa CHARAKHLOE BUTIQUE. Kazi Kwenu wadada na wamama mnaojipenda, wababa mnaopenda wake zenu, wakaka mnaopenda wapenzi wenu. Pia ni mabingwa wa Masuala ya mapambo ya Sherehe mbali mbali kama vile harusi, Sendoff, Dhifa, mahafali na shughuli mbali mbali.
 
MAWASILIANO ZAIDI ONGEA NAO MWENYEWE:
SIMU: 0655020498 NA 0719159915








 MAWASILIANO ZAIDI ONGEA NAO MWENYEWE:
SIMU: 0655020498 NA 0719159915

No comments:

Post a Comment