Wednesday, January 1, 2014

MWAKA MPYA MWANZA

Wakati maduka yote yakiwa yamefungwa jijini hapa ikiwa ni muendelezo wa mgomo wa wafanyabiashara wananchi jijini Mwanza wajitokeza kwa wingi kusherehekea Mwaka mpya katika mzunguko wa Samaki kati kati ya Jiji hili linalopendeza sana kwa miamba na mawe yaliyojipanga kwa namna ya kipekee.

Wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Mwanza wakijivinjwari
 na kupiga picha kwenye mzunguko maarufu jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment